JE UNATAKAKUWA NA WHATSAPP MBILI KWENYE SIMU YAKO , NI RAHISI SANA BOFYA HAPA

Image result for GB WHATSAPP



DOWNLOAD APPLICATION YA GB WHATSAPP AMBAYO NI SAWA NA ILE WHATSAPP  ULIYOIZOEA
TOFAUTI NI KWAMBA HII INA SIFA NYINGI NA NI BORA ZAIDI KULIKO ILE YA KAWAIDA KWA SABABU INA VITU VIFUATAVYO
  • UNAWEZA KUFICHA CHATS ZAKO ZIKAWA PRIVATE NA UKAWEKA NENO LA SIRI  ILI IWE PRIVATE CHATS.
  • UNAWEZA KU 'DOWNLOAD' STATUS ALIYOIWEKA RAFIKI YAKO NA IKAWA KWAKO
  • UNAWEZA UKA DOWNLOAD VIDEO YENYE UKUBWA WA ZAIDI YA 20MBs
  • UNAWEZA UKAWEZA KUTUMA PICHA NYINGI ZAIDI YA 20 KWA WAKATI MMOJA.
  • UNAWEZA UKABADILI RANGI YA ICON Image result for GB WHATSAPP       
  •  NA SIFA NYINGINE NYINGI NZURI ZAIDI. 
  • HAIPATIKANI GOOGLE PLAYSTORE
NAKUSHAURI TUMIA APP HII KWA URAHISI ZAIDI..WEWE MWENYEWE UTAKIRI

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD

UKIMALIZA KUDOWNLOAD  FUATA STEP HIZI KUINSTALL

NENDA  

SETTINGS>>>>SECURITY>>>>UNKNOWN RESOURCES WEKA ON ....KAMA INAVYOONEKANA KWENYE PICHA HII.
GbWhatsApp 

 THEN INSTALL KAMA APP ZINGINE  HAPO UTAKUWA UMEMALIZA

Popular posts from this blog

Jinsi ya kupata Domains name ya Bure kabisa kwa ajili ya blog yako kutoka Freenoms.

JINSI YA KUHACK WHATSAPP NA KUWEZA KUSOMA MESEJI ZA MHUSIKA KIURAHISI ZAIDI .

JINSI YA KUPATA SIMU YAKO YA MKONONI ILIYOPOTEA KWA KUTUMIA NAMBA ZAKE (IMEI NUMBER)